Wadi Halfa (Kar: وادي حلفا) ni mji wa Sudan ya kaskazini kwenye mwambao wa Ziwa Nasser. Ni mwisho wa reli kutoka Khartoum na bandari ya feri kwenda Aswan katika Misri.
Mji alianzishwa katika karne ya 19. Baada ya 1976 wakati wa kumaliza lambo la Aswan palikuwa na mipango ya kubomoa na kuacha mji kabisa. Serikali ilihamisha wakazi kwenda "Halfa mpya" mji mpya mbali katika kusini. Lakini sehemu ya wakazi waliobaki wakakataa kuondoka wakaanza kujenga nyumba mpya jirani na nyumba zilizoanza kuzama katika maji ya Ziwa Nasser lilipopanda juu.
Siku hizi Wadi Halfa imekuwa kituo muhimu cha mawasiliano kati ya Misri na Sudan.
Mji una wakazi 15,000.
وادي حلفا | Wadi Halfa | Wadi Halfa | Wadi Halfa | Wadi Halfa
This article is licensed under the GNU Free Documentation License.
It uses material from the
"Wadi Halfa".
Home Page • arts • business • computers • games • health • hospitals • home • kids & teens • news • physicians • recreation• reference • regional • science • shopping • society • sports • world