Pemba pamoja na visiwa vidogo karibu nayo ina wakazi 360,797 katika eneo la 980 km². Pemba kuna miwili ya mikoa 26 za Tanzania.
Miji muhimu wa Pemba ndiyo Chake Chake, Mkoani na Wete.
Uchumi wa Pemba ni hasa kilimo pamoja na uvuvi. Mazao ya sokoni hulimwa hasa karafuu.
Katika utamaduni wa Pemba kuna desturi ya kipekee katika Afrika ndiyo mchezo wa ng'ombe iliyorithiwa na Wareno walipokuwa na atahri kisiwani karne zilizopita.
Visiwa vya Bahari ya Hindi | Tanzania | Visiwa vya Afrika | Waswahili
This article is licensed under the GNU Free Documentation License.
It uses material from the
"Pemba (kisiwa)".
Home Page • arts • business • computers • games • health • hospitals • home • kids & teens • news • physicians • recreation• reference • regional • science • shopping • society • sports • world