Otto Stern (17 Februari 1888 – 17 Agosti 1969) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Ujerumani. Wakati wa utawala wa Adolf Hitler alihamia Marekani. Hasa alichunguza usumaku wa atomu. Mwaka wa 1943 alikuwa mshindi wa ‘’’Tuzo ya Nobel ya Fizikia’’’.
Otto Stern | Otto Stern | Otto Stern | Otto Stern | Otto Stern | オットー・シュテルン | Otto Stern | Otto Stern | Otto Stern | Otto Stern | Otto Stern
This article is licensed under the GNU Free Documentation License.
It uses material from the
"Otto Stern".
Home Page • arts • business • computers • games • health • hospitals • home • kids & teens • news • physicians • recreation• reference • regional • science • shopping • society • sports • world