article

  1. Lugha asilia ni lugha ambayo ilikua kama sehemu ya utamaduni wa umma fulani ambao watu wake wanaiongea kama lugha ya mama. Ni kinyuma cha lugha ya kuundwa.
  2. Mara nyingi lugha asilia maana yake ni lugha yoyote ambayo inaweza kuzungumzwa na watu, na lugha za kompyuta na za kuandaa programu zinaitwa lugha za kuundwa.

Lugha

Yezh naturel | Natürliche Sprache | Natural language | Natura lingvo | Lenguaje natural | Langue naturelle | שפה טבעית | Természetes nyelv | 自然言語 | 자연어 | Línguas naturais | Естественный язык | Природни језици | ภาษาธรรมชาติ | 自然语言

 

This article is licensed under the GNU Free Documentation License. It uses material from the "Lugha asilia".

Home Pageartsbusinesscomputersgameshealthhospitalshomekids & teensnewsphysiciansrecreationreferenceregionalscienceshoppingsocietysportsworld