article Related Topics:
Liberian :: Liberia
 

Liberia ni nchi iliyoko Afrika ya Kaskazini. Imepakana na nchi za Ivory Coast, Guinea, na Sierra Leone.

Liberia ni nchi iliyoundwa na makabila mbalimbali ya asili nchini humo na wahamiaji weusi toka Marekani. Wamarekani Weusi hawa walikuwa ni watumwa waliopata uhuru ambao kwa kushirikiana na chama cha American Colonization Society waliunda taifa hili na kutangaza uhuru wa nchi hiyo Julai 26, 1847. Wamarekani Weusi hawa waliichukulia nchi hiyo kama nchi ya ahadi kutokana na asili yao kuwa ni Afrika ambako ndiko mababu zao walikotokea kabla ya kupelekwa utumwani Marekani. Hata hivyo, wahamiaji hawa waliendelea kujitambulisha kama Wamarekani na hawakujenga mahusiano ya karibu na wenyeji.

Alama za taifa hili (bendera, kauli mbiu, na nembo ya taifa) na hata muundo wa serikali vilikuwa vikionyesha mahusiano ya karibu kati ya nchi hizi mbili.

Liberia imekuwa katika vita ya wenyewe kwa wenyewe kati ya mwaka 1989-1996 na 1999-2003. Hivi karibuni imefanya uchaguzi uliofanyika kwa amani na kuweza kumchagua mwanamke wa kwanza kuwa Rais barani Afrika, Ellen Johnson-Sirleaf.

Liberia | Nchi

Liberië | ላይቤሪያ | Liberia | ليبيريا | Либерия | Liberija | Libèria | Libérie | Liberia | Liberia | Λιβερία | Liberia | Liberio | Liberia | Libeeria | Liberia | لیبریا | Liberia | Liberia | Liberia | Liberia | ליבריה | Liberija | Libéria | Liberia | Liberia | Líbería | Liberia | リベリア | 라이베리아 | Liberi | Liberia | Liberia | Liberija | Libērija | Либерија | Liberia | Liberia | Liberia | Liberia | Liberia | Libèria | Liberia | Libéria | Liberia | Liberia | Либерия | लायबीरिया | Liberija | Liberia | Libéria | Liberija | Liberia | Либерија | Liberia | Liberia | Liberya | لىبېرىيە | Ліберія | Liberia | 利比里亚 | Liberia

 

This article is licensed under the GNU Free Documentation License. It uses material from the "Liberia".

Home Pageartsbusinesscomputersgameshealthhospitalshomekids & teensnewsphysiciansrecreationreferenceregionalscienceshoppingsocietysportsworld