article

Hans Adolf Krebs (25 Agosti 1900 – 22 Novemba 1981) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Ujerumani. Mwaka wa 1933, kwa vile wazazi wake walikuwa Wayahudi alilazimishwa kuhamia Uingereza. Hasa alichunguza athari za kikemia ndani ya chembe hai. Mwaka wa 1953, pamoja na Fritz Lipmann alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba. Mwaka wa 1958 alipewa cheo cha “Sir” cha Uingereza.

Wanasayansi | Tuzo ya Nobel ya Tiba

Ханс Кребс | Hans Adolf Krebs | Hans Adolf Krebs | Hans Adolf Krebs | הנס אדולף קרבס | Hans Adolf Krebs | ハンス・クレブス | Hans Adolf Krebs | Hans Adolf Krebs | Кребс, Ханс Адольф | Hans Krebs (biokemist)

 

This article is licensed under the GNU Free Documentation License. It uses material from the "Hans Krebs".

Home Pageartsbusinesscomputersgameshealthhospitalshomekids & teensnewsphysiciansrecreationreferenceregionalscienceshoppingsocietysportsworld